23 Januari
Mandhari
(Elekezwa kutoka Januari 23)
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 23 Januari ni siku ya ishirini na tatu ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 342 (343 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1556 - Tetemeko la ardhi katika eneo la Shaanxi nchini Uchina wakati wa utawala wa Jiajing; asilimia 60 za wakazi wa Shaanxi wanafariki; jumla ya waliopoteza maisha ni watu takriban 830,000
- 1973 - Agano la Amani la kusitisha Vita ya Vietnam lilitiwa sahihi mjini Paris; hata hivyo mapigano yakaendelea hadi mwaka 1975
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1832 - Édouard Manet, mchoraji kutoka Ufaransa
- 1876 - Otto Diels, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1950
- 1880 - Ernest Poole, mwandishi kutoka Marekani
- 1907 - Hideki Yukawa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1949
- 1918 - Gertrude Elion, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988
- 1929 - John Polanyi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1986
- 1930 - Derek Walcott, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1992
- 1942 - Salim Ahmed Salim, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1962 - Elvira Lindo, mwandishi na mshairi kutoka Hispania
- 1967 - Naim Süleymanoğlu, mwanariadha kutoka Uturuki
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1837 - John Field, mtunzi wa opera kutoka Eire
- 1944 - Edvard Munch, mchoraji kutoka Norwei
- 1989 - Salvador Dali, mchoraji kutoka Hispania
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Severianus na Akwila, Emerensyana wa Roma, Klementi na Agatanjelo, Amasio wa Teano, Ildefonso wa Toledo, Maimbodo, Andrea Chong Hwagyong, Mariana wa Molokai n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 23 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |