Hideki Yukawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hideki Yukawa

Hideki Yukawa (23 Januari 19078 Septemba 1981) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujapani. Hasa alichunguza vijipande vya atomu. Mwaka wa 1949 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hideki Yukawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.