Otto Diels

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Otto Diels

Otto Paul Hermann Diels (23 Januari 18767 Machi 1954) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza usanisi wa misombo ya kikaboni. Mwaka wa 1950, pamoja na Kurt Alder alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Otto Diels kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.