6 Aprili
Mandhari
(Elekezwa kutoka Aprili 6)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 6 Aprili ni siku ya 96 ya mwaka (ya 97 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 269.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1814 - Napoleon Bonaparte anajiuzulu
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1483 - Raphael, msanii kutoka Italia
- 1726 - Mtakatifu Jeradi Majella, bradha wa shirika la Mkombozi kutoka Italia
- 1889 - Gabriela Mistral, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1945
- 1904 - Kurt Georg Kiesinger, Chansela wa Ujerumani (1966-1969)
- 1911 - Feodor Lynen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1964
- 1920 - Edmond Fischer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1992
- 1928 - James Dewey Watson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
- 1949 - Horst Störmer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1998
- 1964 - David Woodard, mwandishi na mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1520 - Raphael, msanii kutoka Italia
- 1528 - Albrecht Dürer, mchoraji kutoka Ujerumani
- 1935 - Edwin Arlington Robinson, mshairi kutoka Marekani
- 1961 - Jules Bordet, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1919
- 1971 - Igor Stravinsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 2003 - Babatunde Olatunji, mwanamuziki kutoka Nigeria
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Irenei wa Srijem, Eutikyo wa Konstantinopoli, Galla wa Roma, Vinebadi, Prudensi wa Troyes, Filarete wa Seminara, Wiliamu wa Eskill, Petro wa Verona, Paulo Le Bao Tinh n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 6 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |