Shirika la Mkombozi
Mandhari
Shirika la Mkombozi Mtakatifu sana (kwa [[Kilatini: Congregatio Sanctissimi Redemptoris – Ufupisho: C.Ss.R au CSSR) ni shirika la kitawa la kimisionari la Kanisa Katoliki lililoanzishwa na Alfonso Maria wa Liguori tarehe 9 Novemba 1732 huko Scala (karibu na Amalfi, Italia) ili kushughulikia watu waliosahaulika wa mkoa wa Napoli.
Kwa Kiingereza wanashirika wanajulikana kama Redemptorists. Wakiwa mapadri na mabradha wanafanya kazi katika nchi zaidi ya 77 duniani kote. Mkuu wao anaitwa Michael Brehl.
Wanashirika maarufu
[hariri | hariri chanzo]- Mtakatifu Alfonso Maria wa Liguori (1696-1787) Mwanzilishi, Askofu na Mwalimu wa Kanisa
- Mtakatifu Jeradi Majella (1726-1755) bradha
- Mtakatifu Klement Hofbauer (1751-1888) padri
- Mtakatifu John Nepomucene Neumann (1811-1860) Askofu
- Mwenye heri Peter Donders (1809-1887) padri
- Mwenye heri Kaspar Stanggassinger (1871-1899) padri
- Mwenye heri Gennaro Maria Sarnelli (1702-1744) padri
- Mwenye heri Nicholas Charnetsky (1884-1959) Askofu na mfiadini
- Mwenye heri Vasyl Velychkovsky (1903-1973) Askofu na mfiadini
- Mwenye heri Zenon Kovalk (1903-1941) padri na mfiadini
- Mwenye heri Ivan Ziatyk (1899-1952) padri na mfiadini
- Mwenye heri Francis Xavier Seelos (1819-1867) padri
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Congregation of the Most Holy Redeemer Archived 13 Mei 2013 at the Wayback Machine.
- Redemptorist Communications Ireland
- The London Province of the Redemptorists
- The Redemptorists' publishing house in Chawton
- The Redemptorists' publishing house in St Louis
- Redemptorist Spirituality Archived 19 Novemba 2008 at the Wayback Machine.
- Holy Redeemer Church in Bangkok Archived 4 Julai 2007 at the Wayback Machine.
- Redemptorists of Australia and New Zealand.
- Redemptorists of México Archived 3 Januari 2019 at the Wayback Machine.