Afyonkarahisar
Afyonkarahisar (kifupi: Afyon) ni mji uliopo magharibi mwa nchi ya Uturuki, na ni mji mkuu wa Mkoa wa Afyonkarahisar. Afyon ni mji uliopo milimani kutoka nchi kavu kuelekea katika pwani ya Aegean, takriban km 250 (mi 155) kutoka kusini-magharibi mwa mji wa Ankara hadi kuelekea Mto Akar. Kuna mita 1,034 za maporomoko.
Idadi ya wakazi imefikia 128,516 kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2000.
Kukiwa na hali ya hewa ya baridi sana, barabara zote huenea barafu.
Jina
[hariri | hariri chanzo]Jina ni la Kituruki kwa ajili ya ngome nyeusi iliyopo katikati ya mji wa kale. Zamani iliitwa Afyon pekee kutokanana na dawa la afyuni lililotengenezwa hapa kwa wingi kutokana na mashamba makubwa ya mipopi yanayolimwa katika mazingira ya mji.
Tahajia za zamani zilikuwa zimejumlisha Karahisar-i Sahip Afium-Kara-hissar na Afyon Karahisar. Mji ulikuwa ukifahamika kama Afyon (afyuni), hadi hapo jina lilipokuja kubadilishwa mwaka 2004 na bunge la Uturuki.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- City council website (Kituruki)
- Governor's office Ilihifadhiwa 5 Novemba 2005 kwenye Wayback Machine.
- Afyonkarahisar community and information Ilihifadhiwa 14 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine.
- Afyon Guide and Photo Album (Kiingereza)
- Afyon and the Phrygians Ilihifadhiwa 21 Juni 2007 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
- Afyon Kocatepe University Ilihifadhiwa 14 Juni 2007 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
- Department of forestry and the environment Ilihifadhiwa 22 Oktoba 2006 kwenye Wayback Machine. (Kituruki)
- Afyon Science High School Ilihifadhiwa 12 Desemba 2006 kwenye Wayback Machine. (Kituruki)* * Afyon Zafer College Ilihifadhiwa 1 Mei 2008 kwenye Wayback Machine. (Kituruki)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Afyonkarahisar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |