5 Juni
Mandhari
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Juni ni siku ya 156 ya mwaka (ya 157 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 209.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1305 - Uchaguzi wa Papa Klementi V
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1686 - Mtakatifu Ignas wa Santhià, padri wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Italia
- 1797 - Said bin Sultani wa Maskat, Omani na Zanzibar
- 1862 - Allvar Gullstrand, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1911
- 1900 - Dennis Gabor, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1971
- 1971 - Mark Wahlberg, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 754 - Mtakatifu Bonifas, mmonaki mmisionari, askofu Mkatoliki wa Ujerumani na mfiadini nchini Uholanzi
- 1017 - Sanjo, mfalme mkuu wa Japani (1011-1016)
- 1826 - Carl Maria von Weber, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 2004 - Ronald Reagan, Rais wa Marekani (1981-1989)
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Bonifas, Marsiano, Nikandro na wenzao, Dorotheo wa Turo, Ilidi, Eutiki wa Como, Eobani na wenzake, Franko wa Assergi, Petro Spano, Luka Vu Ba, Dominiko Toai, Dominiko Huyen n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |