27 Julai
Mandhari
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 27 Julai ni siku ya 208 ya mwaka (ya 209 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 157.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1835 - Giosue Carducci, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1906
- 1881 - Hans Fischer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1930
- 1963 - Donnie Yen, mwigizaji wa filamu kutoka Uchina
- 1967 - Rahul Bose, mwigizaji wa filamu kutoka Uhindi
- 1983 - Blandina Changula, mwigizaji filamu kutoka Tanzania
- 1984 - Neema Decoras, mwimbaji kutoka Tanzania
- 1989 - Savio Nsereko, mchezaji mpira kutoka Ujerumani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 432 - Mtakatifu Papa Celestino I
- 1061 - Papa Nikolasi II
- 1917 - Emil Theodor Kocher, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1909
- 1948 - Susan Glaspell, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 2008 - Chacha Zakayo Wangwe, mwanasiasa wa Tanzania
- 2016 - James Alan McPherson, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Wafiadini saba wa Efeso, Pantaleo wa Nikomedia, Desiree wa Besancon, Papa Selestini I, Simeoni wa Mnarani, Orso wa Loches, Eklesio, Galatori, Antusa wa Eskihisar, Joji, Aureli na wenzao, Klementi wa Ohrid n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 27 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |