Rahul Bose

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rahul Bose

Rahul Bose (alizaliwa 27 Julai 1967) ni muigizaji wa filamu kutoka Uhindi, mkurugenzi, screenwriter, mwanaharakati na mchezaji raga.

Bose alitumia utoto wake katika Bangalore, Karnataka, na kisha kuhamia Mumbai na familia yake. [onesha uthibitisho]

Filamu muhimu[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]