24 Desemba
Mandhari
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 24 Desemba ni siku ya 358 ya mwaka (ya 359 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 7.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 640 - Uchaguzi wa Papa Yohane IV
- 1294 - Uchaguzi wa Papa Boniface VIII
- 1951 - Nchi ya Libya inapata uhuru kutoka Italia
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1881 - Juan Ramon Jimenez, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1956
- 1940 - Charles Ndiliana Ruwa Keenja, mwanasiasa wa Tanzania
- 1980 - Stephen Appiah, mchezaji mpira kutoka Ghana
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1524 - Vasco da Gama, baharia mpelelezi kutoka Ureno
- 1813 - Go-Sakuramachi, Mfalme Mkuu wa 117 wa Japani (1762-1771)
- 1898 - Mtakatifu Charbel Makhlouf, mmonaki padri kutoka Lebanoni
- 1961 - Robert Hillyer, mshairi kutoka Marekani
- 1997 - Toshiro Mifune, mwigizaji wa filamu kutoka Japani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yakobo-Israeli, Raheli, Delfino wa Bordeaux, Tarsila wa Roma, Irmina wa Trier, Paula Elizabeti Cerioli n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 24 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |