Go-Sakuramachi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Go-Sakuramachi

Go-Sakuramachi (23 Septemba 174024 Desemba 1813) alikuwa mfalme mkuu wa 117 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Satoko. Tarehe 15 Septemba 1762 alimfuata kaka yake, Momozono, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1771. Aliyemfuata ni mpwa wake, Go-Momozono.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Sakuramachi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.