8 Oktoba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Oktoba 8)
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 8 Oktoba ni siku ya 281 ya mwaka (ya 282 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 84.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1883 - Otto Warburg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1931
- 1917 - Rodney Porter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1972
- 1918 - Jens Skou, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1997
- 1927 - César Milstein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1984
- 1954 - Michael Dudikoff, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1965 - Iddi Mohamed Azzan, mwanasiasa wa Tanzania
- 1970 - Matt Damon, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1979 - Kristanna Loken, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 391 - Mtakatifu Felisi wa Como, askofu
- 1317 - Fushimi, mfalme mkuu wa Japani (1287-1298)
- 1869 - Franklin Pierce, Rais wa Marekani (1853-1857)
- 1936 - Munshi Premchand, mwandishi kutoka Uhindi
- 1982 - Philip Noel-Baker, mwanasiasa wa Uingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1959
- 1992 - Willy Brandt, Chansela wa Ujerumani (1969-1974)
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Pelaja wa Antiokia, Reparata, Felisi wa Como, Evodi wa Rouen, Ragenfrida, Hugo wa Genova n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 13 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 8 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |