Idd Mohamed Azzan
Mandhari
(Elekezwa kutoka Iddi Mohamed Azzan)
Idd Mohamed Azzan (amezaliwa tar. 8 Oktoba 1965) ni Mbunge wa jimbo la Kinondoni katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mengi kuhusu Iddi Mohamed Azzan". 13 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |