Idd Mohamed Azzan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Idd Mohamed Azzan (amezaliwa tar. 8 Oktoba 1965) ni Mbunge wa jimbo la Kinondoni katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Iddi Mohamed Azzan". 13 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]