Hugo wa Genova
Mandhari
Hugo wa Genova (jina kamili la Kiitalia: Ugo Canefri; Alessandria, Italia Kaskazini, 1148 - Genova, Italia Kaskazini, 8 Oktoba 1233) alikuwa Mkristo wa ukoo maarufu ambaye, kisha kushiriki kama askari vita vya msalaba akajitosa kuhudumia kwa wema na upendo wagonjwa wa Genova katika familia ya kiroho ya Utawa wa Mt. Yohane[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[2].
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake [3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/90466
- ↑ Mauro Remotti. "Alessandria racconta – Sant'Ugo Canefri", 20 June 2018. (it)
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Giacomo Bosio, Historia della Religione et Ill.ma Militia di S. Giovanni Gerosolimitano, (seconda edizione), 1629.
- Giambattista Verdura, Vita morte e miracoli di S. Ugone cavaliere gerosolimitano, Genova 1665.
- Vincenzo Persoglio, Vita di S. Ugo cavaliere ospitaliere di S. Giovanni gerosolimitano, Genova, Tipografia della Gioventù, 1874.
- Vincenzo Persoglio, Sant'Ugo cavaliere ospitaliere gerosolimitano e la Commenda di S. Giovanni di Pré, Genova 1887.
- Carlo Caviglione, ‘Ugo Canefri cavaliere della fede e della carità’ in Il Cittadino, Genova 18/10/1970.
- Cassiano da Langasco, ‘Ugo Canefri un precursore del servizio sociale ai poveri’ in La voce alessandrina, 4/10/1980.
- Carla Reschia, ‘Ugo Canefri tra miracoli e carità’ in La Stampa - Edizione di Alessandria, 8/10/1989.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |