Nenda kwa yaliyomo

Pelagia wa Antiokia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Pelaja wa Antiokia)
Picha takatifu ya Mt. Pelagia.

Pelagia wa Antiokia alikuwa bikira Mkristo wa karne ya 3 wa huko Antiokia, leo nchini Uturuki, ambaye alifia dini yake akasifiwa sana na Yohane Krisostomo na Ambrosi [1].

Pengine anachanganywa na somo wake ambaye, baada ya kuishi kwa anasa aliishi kwa toba kali hadi kuharibu afya yake na hatimaye kufariki dunia[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Oktoba[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/73550
  2. S.J.RUPYA, Makahaba wa jangwani, BPNP 1996, isbn 9976634765.
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo mengine

[hariri | hariri chanzo]
  • Bunson, Matthew; na wenz. (2003), "Nonnus", Our Sunday Visitor's Encyclopedia of Saints, Rev. ed., Huntington: Our Sunday Visitor, uk. 611, ISBN 1-931709-75-0, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Oktoba 2015.
  • Butler, Alban (1866), "October 8: Saint Pelagia, Penitent", The Lives of the Fathers, Martyrs, and Other Principal Saints: Compiled from Original Monuments and Authentic Records, Vol. X: October, Dublin: James Duffy.
  • Cameron, Alan (2016), "The Poet, the Bishop, and the Harlot", Wandering Poets and Other Essays on Late Greek Literature and Philosophy, Oxford: Oxford University Press, ku. 81–90, ISBN 978-0-19-026894-7.
  • Coon, Lynda L. (1997), "Pelagia: God's Holy Harlot", Sacred Fictions: Holy Women and Hagiography in Late Antiquity, Philadelphia: University of Pennsylvania Press, ku. 77–84, ISBN 0-8122-3371-9.
  • Jacobus Diaconus (James, or Jacob, the Deacon) (1628), "22: The Life of Saint Pelagia the Harlot [Celebrated in the Roman Martyrology on October 8] by Jacobus Diaconus, translated into Latin from the Greek by Eustochius", Vitae Patrum: De Vita et Verbis Seniorum sive Historiae Eremiticae, Vol. I, Antwerp{{citation}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link).
  • Jacobus Diaconus, The Life of Saint Pelagia the Harlot, English translations from the Latin available online:
    • Translation Ilihifadhiwa 2 Desemba 2020 kwenye Wayback Machine. by Sr. Benedicta Ward, S.L.G., "Pelagia, Beauty Riding By" in Harlots of the desert: a study of repentance in early monastic sources. (Cistercian Publications, Inc., series: Cistercian Studies (Book 106), Kalamazoo, 1986. ISBN 9780879076061.): Latin Text in PL 73, 663-672)
    • Translation by Revd Benedict Baker, Bronllys, UK. Accessed on 25 July 2018.
    • Orthodox Classics in English, "The Eighth Day of the Month of October: The Life of Our Holy Mother Pelagia the Nun, who was Once a Harlot, Written by James, a Deacon of the Church of Heliopolis, from The Great Collection of the Lives of the Saints, Vol. 2: October, compiled by Saint Demetrius of Rostov". Chrysostom Press, House Springs. Archive copy accessed on 25 July 2018.
  • Kirsch, Johann Peter (1911), "Pelagia" , Catholic Encyclopedia: An International Work of Reference on the Constitution, Doctrine, Discipline, and History of the Catholic Church, Vol. 11, New York: Robert Appleton Co.
  • Usener, Hermann (1879), Legenden der heiligen Pelagia, Bonn{{citation}}: CS1 maint: location missing publisher (link). (Kijerumani)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.