28 Oktoba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Oktoba 28)
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 28 Oktoba ni siku ya 301 ya mwaka (ya 302 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 64.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1492 - Kristoforo Kolumbus anafika kisiwani Kuba
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1946 - Anthony Banzi, askofu wa Jimbo Katoliki la Tanga, Tanzania
- 1948 - Telma Hopkins, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1957 - Roza Rymbayeva, mwanamuziki kutoka Kazakhstan
- 1966 - Andy Richter, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1985 - Wayne Rooney, mchezaji wa mpira kutoka Uingereza
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 312 - Maxentius, Kaisari wa Dola la Roma
- 1704 - John Locke, mwanafalsafa Mwingereza
- 1914 - R.L.M. Synge, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1952
- 1921 - William Speirs Bruce, mpelelezi wa Antaktiki kutoka Uskoti
- 1952 - Billy Hughes, Waziri Mkuu wa Australia
- 2005 - Richard Smalley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1996
- 2014 - Galway Kinnell, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya watakatifu mitume Simoni Mkananayo na Yuda Tadei, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Feruchi wa Mainz, Fedele wa Como, Vinsenti, Sabina na Kristeta, Jenesi wa Thiers, Salvio wa Amiens, Faro, Jermano wa Talloires, Fransisko Serrano na wenzake, Yohane Dat, Roderiko Aguilar n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 28 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |