Jermano wa Talloires
Mandhari
Jermano wa Talloires O.S.B. (labda Ubelgiji, karne ya 10 - Talloires, Savoie, leo nchini Ufaransa, 1066/1080) alikuwa msomi aliyemlea Bernardo wa Menthon, halafu akawa mmonaki huko Savigny, abati wa monasteri mpya ya Kibenedikto huko Talloires[1], na hatimaye kwa miaka mingi mkaapweke kama alivyotamani[2][3].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Papa Leo XIII alithibitisha heshima hiyo tarehe 9 Mei 1889[4].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Oktoba[5]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Bernard Secret, BSS, vol. XII (1969), col. 111.
- ↑ Bernard Secret, BSS, vol. XII (1969), col. 112.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/92888
- ↑ Index ac status causarum (1999), p. 429.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Chanoine Vincent Brasier, Vie de saint Germain de Talloires, impr. J. Niérat, 1889, 208 pages (réimprimé en 2010, par BiblioBazaar, 314 p., ISBN 978-1-1451-0378-8) ;
- Séverin-Georges Couneson, Les Saints nos frères, Éditions Beauchesne, 1970;
- Chanoine Vincent Brasier, Étude sur saint Germain, moine bénédictin d’abord prieur de Talloires ensuite solitaire, Annecy, Imprimerie de François Abry, 1879.
- Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
- Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Site de l'ermitage de Saint-Germain sur Talloires.
- [http://www.diocese-annecy.fr/rubriques/haut/haute-savoie/haut-lieux-spirituels/st-germain-sur-talloires/document
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |