Billy Hughes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Billy Hughes

William Morris "Billy" Hughes CH PC KC (25 Septemba 186228 Oktoba 1952) alikuwa mwanasiasa wa Australia. Alikuwa mbunge wa muda mrefu kabisa katika historia ya Australia, na pia alikuwa Waziri Mkuu kuanzia mwaka wa 1915 hadi 1923.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Billy Hughes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Mawaziri Wakuu wa Australia
Barton | Deakin | Watson | Reid | Fisher | Cook | Hughes | Bruce | Scullin | Lyons | Page | Menzies | Fadden | Curtin | Forde | Chifley | Holt | McEwen | Gorton | McMahon | Whitlam | Fraser | Hawke | Keating | Howard | Rudd