Nenda kwa yaliyomo

Alfred Deakin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alfred Deakin.

Alfred William Deakin (3 Agosti 1856 - 7 Oktoba 1919) alikuwa Waziri Mkuu wa pili wa Australia.

Alizaliwa mjini Fitzroy, Melbourne, Australia. Kunako miaka ya 1890 aliisaidia Australia kuifanya kuwa nchi. Hapo awali alikuwa Jaji Mkuu, wakati huo Bw. Edmund Barton ndiyo alikuwa Waziri Mkuu, baada ya hapo Bw. Deakin akashika madaraka hayo baada ya Bw. Barton kuondoka madarakani. Deakin alikuwa Waziri Mkuu mara tatu. Serikali yake ilizanzisha fedha za Kiaustralia na jeshi la maji (navy).

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfred Deakin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Mawaziri Wakuu wa Australia
Barton | Deakin | Watson | Reid | Fisher | Cook | Hughes | Bruce | Scullin | Lyons | Page | Menzies | Fadden | Curtin | Forde | Chifley | Holt | McEwen | Gorton | McMahon | Whitlam | Fraser | Hawke | Keating | Howard | Rudd