Nenda kwa yaliyomo

Edmund Barton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Edmund Barton.

Sir Edmund Barton (18 Januari 18497 Januari 1920) alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Australia. Yeye ndiye alichukua sehemu kubwa ya kuijenga na kuuiboresha Australia ya leo. Wakati wa uongozi wake katika serikali hiyo, ilipitisha sheria ya mtu asiye mweupe kuingia nchini humo na hata kutowataka wakina mama kushiriki kupiga kura katika uchaguzi wowote utakaofanyika nchini humo. Baada ya kuwa Waziri Mkuu, akaja kuwa jaji mkuu wa nchi katika mahakama kuu. Mwaka wa 1902, Barton alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza baada ya kukataa cheo hicho miaka ya 1887, 1891 na 1899.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edmund Barton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Mawaziri Wakuu wa Australia
Barton | Deakin | Watson | Reid | Fisher | Cook | Hughes | Bruce | Scullin | Lyons | Page | Menzies | Fadden | Curtin | Forde | Chifley | Holt | McEwen | Gorton | McMahon | Whitlam | Fraser | Hawke | Keating | Howard | Rudd