Nenda kwa yaliyomo

Mto Ruhoi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Ruhoi ni kati ya mito ya mkoa wa Pwani (Tanzania mashariki).

Maji yake yanaelekea Bahari Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]