Mto Mwalisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mwalisi ni kati ya mito ya wilaya ya Rungwe, mkoa wa Mbeya, ulioko Kusini Magharibi mwa Tanzania.

Mto Mwalisi unatiririsha maji yake kwenye Ziwa Nyasa baada ya kuungana na mto Mbaka.

Maji hayo yanaishia katika bahari Hindi kupitia mto Zambezi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]