Nenda kwa yaliyomo

Mto Mambi (Mtwara)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mambi ni kati ya mito ya mkoa wa Mtwara (Tanzania Kusini Magharibi) ambayo maji yake yanaishia katika Bahari Hindi karibu na Sudi, upande wa kaskazini wa Mtwara.

Mdomoni mto huwa mpana sana. Mdomo huo mpana ulikuwa bandari nzuri wakati wa biashara ya jahazi, lakini meli kubwa haziwezi kuingia.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mtwara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Mambi (Mtwara) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.