Nenda kwa yaliyomo

Mto Kapatu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Kapatu ni mto wa Tanzania ya kati ambao ni tawimto la mto Chona ambao tena ni tawimto la mto Wembere unaotiririkia ziwa Kitangiri.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]