Mto Kalungu (Kigoma)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mto Kalungu)
Jump to navigation Jump to search

Mto Kalungu (Kigoma) ni kati ya mito ya mkoa wa Kigoma (Tanzania Kaskazini-Magharibi).

Maji yake yanaelekea Ziwa Tanganyika, mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.

Ni tofauti na mto Kalungu wa mkoa wa Songwe.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]