Nenda kwa yaliyomo

Mto Gwiri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Gwiri ni kati ya mito ya mkoa wa Mbeya (Tanzania Kusini Magharibi) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia mto Rufiji.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]