Mto Gombe (Kigoma)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sokwe katika hifadhi ya Gombe

Mto Gombe ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania, upande wa magharibi (mkoa wa Tabora na mkoa wa Kigoma).

Unatiririka hadi kuingia katika mto Malagarasi, ambao ni wa pili kwa urefu nchini na hatimaye unamwaga maji yake mengi katika ziwa Tanganyika.

Kutoka huko maji yanachangia mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.

Ndiko inapopatikana Hifadhi ya Taifa ya Gombe.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]