Mto Gombe (Kigoma)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mto Gombe)
Mto Gombe ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania, upande wa magharibi (mkoa wa Tabora na mkoa wa Kigoma).
Unatiririka hadi kuingia katika mto Malagarasi, ambao ni wa pili kwa urefu nchini na hatimaye unamwaga maji yake mengi katika ziwa Tanganyika.
Kutoka huko maji yanachangia mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.
Ndiko inapopatikana Hifadhi ya Taifa ya Gombe.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Gombe (Kigoma) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |