Tofauti kati ya marekesbisho "18 Januari"

Jump to navigation Jump to search
296 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
{{Januari}}
== Matukio ==
* [[1535]] - [[Francisco Pizarro]] anaunda [[mji]] wa [[Lima]] ([[Peru]]).
* [[1701]] - [[Mtemi]] [[Friedrich I (Prussia)|Friedrich]] wa [[Brandenburg]] ([[Ujerumani]]) [[Baraka|anabarikiwa]] kuwa na [[cheo]] cha [[mfalme]] katika [[Prussia]]
* [[1871]] - Mfalme [[Wilhelm I]] wa [[Prussia]] anatangazwa kuwa [[Kaisari]] wa [[Ujerumani]] mjini [[Versailles]] ([[Ufaransa]])
 
== Waliozaliwa ==
* [[1849]] - [[Edmund Barton]], [[Waziri Mkuu]] wa kwanza wa [[Australia]]
* [[1867]] - [[Rubén Darío]], [[mwandishi]] kutoka [[Nikaragua]]
* [[1986]] - [[Ropa Garise]], [[mwanamitindo]] kutoka [[Zimbabwe]]
 
== Waliofariki ==
* [[1471]] - [[Go-Hanazono]], [[mfalme mkuu]] wa [[Japani]] ([[1428]]-[[1464]])
* [[1862]] - [[John Tyler]], [[Rais]] wa [[Marekani]] ([[1841]]-[[1845]])
* [[1936]] - [[Rudyard Kipling]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1907]])
* [[1982]] - [[Huang Xianfan]], [[mwanahistoria]] kutoka [[China]]
* [[1995]] - [[Adolf Butenandt]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]], mwaka wa [[1939]])
 
==Viungo vya nje==
{{commons}}
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/january/18 BBC: On This Day]
* [http://www1.sympatico.ca/cgi-bin/on_this_day?mth=Jan&day=18 On This Day in Canada]
 
{{DEFAULTSORT:Januari 18}}
[[Jamii:Januari]]

Urambazaji