Nenda kwa yaliyomo

Go-Hanazono

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Go-Hanazono

Go-Hanazono (19 Julai 141918 Januari 1471) alikuwa mfalme mkuu wa 102 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Hikohito. Tarehe 7 Septemba 1428 alimfuata Shoko, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 21 Agosti 1464. Aliyemfuata ni mwana wake, Go-Tsuchimikado.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Hanazono kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.