Go-Tsuchimikado

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Go-Tsuchimikado (3 Julai 144221 Oktoba 1500) alikuwa mfalme mkuu wa 103 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Fusahito. Tarehe 21 Agosti 1464 alimfuata baba yake, Go-Hanazono, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwana wake, Go-Kashiwabara.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Tsuchimikado kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.