Shoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shoko (12 Mei 140130 Agosti 1428) alikuwa mfalme mkuu wa 101 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Mihito. Tarehe 5 Oktoba 1412 alimfuata baba yake, Go-Komatsu, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni Go-Hanazono.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shoko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.