Adolf Butenandt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Adolf Butenandt

Adolf Friedrich Johann Butenandt (24 Machi 190318 Januari 1995) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza homoni zisababishazo kuvutiwa kijinsia. Mwaka wa 1939, pamoja na Leopold Ruzicka alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Serikali ya Ujerumani walimlazimisha kukataa tuzo lakini aliruhusiwa kuipokea mwaka wa 1949.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adolf Butenandt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.