Tofauti kati ya marekesbisho "Mkoa wa Mtwara"

Jump to navigation Jump to search
527 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
Bandari imebaki ambayo haijaona kazi nyingi lakini bado ina faida ya kuwa na nafasi nzuri sana ya kupokea meli kubwa. Wakati wa mapambano dhidi ya serikali ya ubaguzi wa rangi katika Afrika Kusini mipango mbalimbali imetungwa kutengeneza njia ya kupeleka bishaa kutoka bandari ya Mtwara kwenda [[Songea]] na kutoka huko [[Malawi]] kwa kuvuka [[Ziwa la Nyasa]].
 
Baada ya kujengwa kwa daraja mtoni Rufiji mwaka 2002 kuna matumaini mpya ya kuwa na barabara inayotumika kati ya Mtwara na [[Daressalaam]]. Eneo la Mnazi Bay ina gesi inayoweza kutumika kwa mahitaji ya nishati ya eneo lote.
Tegemeo kubwa la uchumi kwa mkoa wa mtwara ni kilimo hasa ikitegemea zao la korosho kwa wakulima wa wilaya zote za mkoa wa mtwara,kwa miaka ya karibuni wilaya ya TANDAHIMBA na masasi ndio wamekuwa wazalishaji wa kiwango cha juu wa korosho.Pia mfumo wa stakabadhi ghalani umesaidia kwa kiasi fulani kwa miaka ya awali ya uanzishwaji mfumo huo(msimu wa 2008/2009)kwa miaka iliyofuata vyama vya msingi vimeonekana kuelemewa na mfumo huo na kusabaisha sinto fahamu inayoweza kurekebishwa kwa kuwahusisha wadau wote wa zao la korosho.
 
 
==Viungo vya nje==
Anonymous user

Urambazaji