Kurdistan
Mandhari

Kurdistan au Kurdistan Kuu,[1][2] ni eneo la kijiografia na kiutamaduni katika Asia ya Magharibi lisilo na mipaka bayana, ambapo Wakurdi huunda idadi kubwa ya watu [3] na ambapo kihistoria utamaduni, lugha, na utambulisho wao wa kitaifa umejikita.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Turkey demands Google remove Greater Kurdistan map by Rudaw, December 25, 2018
- ↑ Kaya, Zeynep (2020). Mapping Kurdistan: Territory, Self-Determination and Nationalism. Cambridge University Press. ku. 2, 137, 177, 197.
- ↑ Zaken, Mordechai (2007). Jewish Subjects and Their Tribal Chieftains in Kurdistan: A Study in Survival. Leiden, The Netherlands: BRILL. ku. 1–2. ISBN 9789004161900.
Kurdistan was never a sovereign state, though the area with an ethnic and linguistic majority of Kurdish population is defined as Kurdistan.
- ↑ M. T. O'Shea, Trapped between the map and reality: geography and perceptions of Kurdistan, 258 pp., Routledge, 2004. (see p. 77)
| Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kurdistan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |