7 Juni
Mandhari
(Elekezwa kutoka Juni 7)
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 7 Juni ni siku ya 158 ya mwaka (ya 159 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 207.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1099 - Yerusalemu unazingirwa na askari Wakristo wa Vita vya msalaba
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1862 - Philipp Lenard, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1905
- 1877 - Charles Glover Barkla, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1917
- 1896 - Robert Mulliken, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1966
- 1917 - Gwendolyn Brooks, mshairi wa kike kutoka Marekani
- 1952 - Orhan Pamuk, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2006
- 1952 - Liam Neeson, mwigizaji wa filamu kutoka Ireland
- 1958 - Prince, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1968 - Carla Marins, mwigizaji wa filamu kutoka Brazil
- 1972 - Karl Urban, mwigizaji wa filamu kutoka New Zealand
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 555 - Papa Vigilio
- 2010 - Oliver N'Goma, mwanamuziki kutoka Gabon
- 2014 - Mzee Small, mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Tanzania
- 2015 - Christopher Lee, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Kolmani wa Dromore, Petro, Valabonso na wenzao, Robati wa Newminster, Antonio Maria Gianelli n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 7 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |