Charles Glover Barkla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Charles Glover Barkla

Charles Glover Barkla (7 Juni 187723 Oktoba 1944) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mionzi ya eksirei na kufanya majaribio nazo. Mwaka wa 1917 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Glover Barkla kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.