Karl Urban

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Karl Urban

Urban katika sherehe za filamu ya Star Trek mnamo mwezi wa Aprili 2009
Amezaliwa Karl-Heinz Urban
7 Juni 1972 (1972-06-07) (umri 51)
Wellington, New Zealand
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1990–hadi leo

Karl-Heinz Urban (amezaliwa 7 Juni 1972) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini New Zealand. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Éomer katika sehemu ya pili na ya tatu ya mfululizo wa filamu za Peter Jackson ya The Lord of the Rings trilogy, na Dr Leonard McCoy kwenye filamu ya mwaka wa 2009 Star Trek. Amecheza kama Vaako katika The Chronicles of Riddick na mwuaji wa Kirusi Kirill katika filamu ya The Bourne Supremacy, na kupata tuzo kwa ajili ya michakaliko yake ya katika filamu za Kinew Zealand The Price of Milk na Out of the Blue.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karl Urban kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.