6 Juni
Mandhari
(Elekezwa kutoka Juni 6)
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 6 Juni ni siku ya 157 ya mwaka (ya 158 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 208.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1523 - Uchaguzi wa Gustav Vasa kuwa mfalme wa Uswidi katika mji wa Strangnas
- 1752 - Moto unateketeza sehemu za mji wa Moscow
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1799 - Aleksander Pushkin, mwandishi kutoka Urusi
- 1875 - Thomas Mann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1929
- 1918 - Edwin Krebs, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1992
- 1925 - Maxine Kumin, mshairi kutoka Marekani
- 1933 - Heinrich Rohrer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1986
- 1943 - Richard Smalley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1996
- 1944 - Phillip Sharp, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1993
- 1952 - Ibrahim Lipumba, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1959 - Jimmy Jam, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1972 - Peter Joseph Serukamba, mwanasiasa wa tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1134 - Mtakatifu Norbert wa Xanten, askofu Mkatoliki nchini Ujerumani
- 1946 - Gerhart Hauptmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1912
- 1961 - Carl Gustav Jung, mwanasaikolojia kutoka Uswisi
- 1996 - George Snell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1980
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Norbert wa Xanten, Artemi na Paulina, Besarioni wa Misri, Serati, Eustoji II, Yarilati, Klaudi wa Condat, Aleksanda wa Fiesole, Hilarioni Kijana, Kolmani wa Orkney, Gilbati wa Neuffonts, Marselino Champagnat, Petro Dung, Petro Thuan, Visenti Duong, Rafaeli Guizar n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 6 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |