4 Januari
Mandhari
(Elekezwa kutoka Januari 4)
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Januari ni siku ya nne ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 361 (362 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1642 - Isaac Newton, mwanasayansi maarufu duniani kutoka Uingereza
- 1940 - Gao Xingjian, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2000
- 1940 - Brian Josephson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1973
- 1945 - Richard Schrock, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2005
- 1962 - Binilith Satano Mahenge, mwanasiasa wa Tanzania
- 1963 - May-Britt Moser, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2014
- 1980 - Greg Cipes, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1309 - Mtakatifu Anjela wa Foligno, Mfransisko kutoka Italia
- 1821 - Mtakatifu Elizabeth Ann Seton, mwanzilishi wa shirika la kwanza la kitawa huko Marekani
- 1941 - Henri Bergson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1927
- 1960 - Albert Camus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1957
- 1961 - Erwin Schrodinger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1933
- 1965 - T. S. Eliot, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1948
- 1982 - Ross Turnbull, mchezaji wa mpira kutoka Uingereza
- 2006 - Maktoum bin Rashid Al Maktoum, Waziri Mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu na mtawala wa Dubai
- 2007 - Juma Jamaldin Akukweti, mwanasiasa wa Tanzania
- 2010 - Paulo Ahyi, msanii aliyeunda bendera ya Togo
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Hermes na Gayo, Gregori wa Langres, Fereolo wa Uzes, Rigomero wa Meaux, Rigobati wa Reims, Farailde wa Valencienne, Anjela wa Foligno, Elizabeth Ann Seton, Emanueli Gonzalez Garcia n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |