Juma Jamaldin Akukweti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Juma Jamaldin Akukweti (20 Septemba 1947 - 4 Januari 2007) alikuwa Waziri nchini Tanzania, Ofisi ya Waziri Mkuu, pia alikuwa Mbunge katika Bunge la Tanzania. [1]

Kifo chake[hariri | hariri chanzo]

Akukweti alifariki dunia kwa majeraha aliyopata kutokana na ajali ya ndege iliyotokea Mbeya, tarehe 16 Desemba mwaka 2006, na kufariki dunia tarehe 4 Januari ya mwaka 2007.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]