Gao Xingjian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gao Xingjian

Gao Xingjian (amezaliwa 4 Januari 1940) ni mwandishi kutoka nchi ya Uchina. Hasa ameandika tamthiliya. Kwa vile alionewa na serikali ya Kichina, alihamia Ufaransa mwaka wa 1987. Mwaka wa 2000 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gao Xingjian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.