Cathay Pacific
Cathay Pacific Limited ni kampuni kuu ya ndege ya Hong Kong, China, ikiwa na makao yake makuu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ya Hong Kong.
Mnamo 2008, Cathay Pacific na Dragonair ilihudumu ndege 138,000, na kubeba wasafiriwa takriban milioni 25 na kubeba mizigo ya zaidi ya tani milioni 1.6.
Ndege hii ilianzishwa mnamo 24 Septemba 1946 na Mwamerika R|oy Farrell pamoja na Sydney de Kantzow anayetoka nchini Australia. Waliita Cathay Pacific kwa sababu Cathay ni jina la jadi la China; na Pacific kwa ajili Farey alikuwa na matumaini ya kuwa siku moja wataruka juu ya bahari ya Pacific.

Miji inayosafiria[hariri | hariri chanzo]
Afrika[hariri | hariri chanzo]
- Afrika Kusini
- Johannesburg - Tambo International Airport
Asia[hariri | hariri chanzo]
Asia Mashariki[hariri | hariri chanzo]

- People's Republic of China
- Republic of China (Taiwan)
- Taipei - Taiwan Taoyuan International Airport
- Japan
- South Korea
- Seoul - Incheon International Airport **

Asia Kusini[hariri | hariri chanzo]
- Bangladesh
- Dhaka - Zia International Airport
- India
- Pakistan
- Karachi - Jinnah International Airport
- Sri Lanka
- Colombo - Bandaranaike International Airport
- Indonesia
- Malaysia
- Kuala Lumpur - Kuala Lumpur International Airport
- Penang - Penang International Airport **
- Philippines
- Singapore
- Singapore Changi Airport **
- Thailand
- Bangkok - Suvarnabhumi Airport
- Vietnam
- Hanoi - Noi Bai International Airport
- Ho Chi Minh City - Tan Son Nhat International Airport
- Bahrain
- Bahrain International Airport
- Saudi Arabia
- United Arab Emirates
- Dubai - Dubai International Airport **
Uropa[hariri | hariri chanzo]
- Ubelgiji
- Brussels - Brussels Airport
- Ufaransa
- Paris-Charles de Gaulle Airport
- Ujerumani
- Frankfurt - Frankfurt Airport
- Italia
- Netherlands
- Amsterdam - Amsterdam Airport Schiphol
- Sweden
- Stockholm-Arlanda Airport
- Uingereza
- London - London Heathrow Airport
- Manchester - Manchester Airport
Amerika ya Kaskazini[hariri | hariri chanzo]
- Canada
- Marekani
- Atlanta - Hartsfield-Jackson Atlanta International Airport
- Chicago - O'Hare International Airport
- Dallas - Dallas-Fort Worth International Airport
- Houston - George Bush Intercontinental Airport
- Los Angeles - Los Angeles International Airport
- Miami - Miami International Airport
- New York City - John F. Kennedy International Airport
- San Francisco - San Francisco International Airport
Oceania[hariri | hariri chanzo]
- Australia
- New Zealand
- Auckland - Auckland Airport
Huduma[hariri | hariri chanzo]
Chakula[hariri | hariri chanzo]

Vyakula na vinywaji vinavyotolewa kwenye ndege zote zitokazo Hong Kong hutolewa na kampuni ya Cathay Pacific Catering Services.[1]
Huduma za ziada[hariri | hariri chanzo]
Ndani ya ndege ya Cathay Pacific, kuna runinga kwenye kila kiti inayoonyesha sinema, filamu na muziki za Marekani na za Kihindi. Pia, kuna jalada na magazeti ya kusoma. Kila msafiri ana takriban filamu 100, vipindi 350, na albamu za muziki 880 na stesheni 22 za redio.
First Class[hariri | hariri chanzo]

Viti vya First Class vinaweza kulazwa kama vitanda vya urefu wa inchi 36 x inchi 81. Viti hivi vina chombo cha kukandia mwili, kabati yenye vitu vya kibinafsi, na rununga ya inchi 17.
Business Class[hariri | hariri chanzo]

Viti hivi vya Business Class vimepangwa sawiya na vya Air Newzealand, Virgin Atlantic na Jet Airways. Viti vyake vinaweza kulazwa chini kama kitanda. Pia kuna chombo cha kukanda, na simu.[2]
Economy Class[hariri | hariri chanzo]
Hapa, viti huweza kulazwa kidogo tu bila ya kumsumbua msafiri aliye nyuma. Kuna runinga yenye stesheni 25. Kila kiti ina mto wa kulalia.
Tuzo[hariri | hariri chanzo]
Awards received by Cathay Pacific | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
|
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ http://www.cpcs.com.hk/eng/customers_e.html%7Cpublisher=Cathay[dead link] Pacific Catering Services|accessdate=2009-07-03}}
- ↑ New Business Class. Cathay Pacific. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
- ↑ 3.0 3.1 3.2 3.3 3.4 ATW Industry Achievement Awards Description & History. Air Transport World. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-04-17. Iliwekwa mnamo 2009-07-05.
- ↑ 4.0 4.1 4.2 4.3 4.4 4.5 4.6 4.7 4.8 World Travel Awards. World Travel Awards. Iliwekwa mnamo 2009-07-05.
- ↑ 5.0 5.1 "British Airways was the big winner at the 25th Anniversary OAG Airline of the Year Awards", Official Airline Guide, 17 Aprili 2007. Retrieved on 2009-07-25. [dead link]
- ↑ 6.0 6.1 6.2 The World's Official 5-Star Airlines. Skytrax. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-07-30. Iliwekwa mnamo 2009-07-05.
- ↑ 7.0 7.1 7.2 A-Z Index of World Airline Award Winners. Skytrax. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-01-05. Iliwekwa mnamo 2009-07-05.
- ↑ Cathay Pacific, Braving Tests, Tops Hong Kong List. Wall Street Journal. Iliwekwa mnamo 2009-09-04.