26 Aprili
Mandhari
(Elekezwa kutoka Aprili 26)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 26 Aprili ni siku ya 116 ya mwaka (ya 117 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 249.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1964 - Nchi za Tanganyika na Zanzibar zinaungana kuwa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1879 - Owen Richardson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1928
- 1898 - Vicente Aleixandre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1977
- 1914 - Bernard Malamud, mwandishi kutoka Marekani
- 1917 - Ieoh Ming Pei, msanifu majengo kutoka China na Marekani
- 1932 - Michael Smith, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1993
- 1933 - Arno Penzias, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1978
- 1955 - Damian Dalu, askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Songea, Tanzania
- 1965 - Kevin James, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1966 - Natasha Trethewey, mshairi kutoka Marekani
- 1970 - Melania Trump
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 757 - Papa Stefano II
- 1192 - Go-Shirakawa, mfalme mkuu wa Japani (1155-1158)
- 1910 - Bjørnstjerne Bjørnson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1903
- 1940 - Carl Bosch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1931
- 1984 - Count Basie, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
- 1991 - Alfred Bertram Guthrie, mwandishi kutoka Marekani
- 2003 - Yun Hyon-seok, mwandishi kutoka Korea Kusini
- 2016 - Lucy Kibaki, Mwanamke wa Kwanza wa Kenya (2003-2013)
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Kleti, Primitivi wa Roma, Basilei wa Amasea, Rikari, Paskasi Radberti, Wiliamu na Pelegrino, Stefano wa Perm, Rafaeli Arnaiz n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 26 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |