Alfred Bertram Guthrie
Mandhari
Maandishi ya kooze
Alfred Bertram Guthrie (13 Januari 1901 – 26 Aprili 1991) alikuwa mwandishi na mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1950, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Way West ("Njia Kwenda Magharibi").
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alfred Bertram Guthrie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |