Nenda kwa yaliyomo

Arno Penzias

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Arno Penzias

Arno Allan Penzias (amezaliwa 26 Aprili 1933) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa nchini Ujerumani. Hasa alichunguza mnururisho wa nyota. Mwaka wa 1978, pamoja na Robert Woodrow Wilson na Pyotr Kapitsa alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Tazmama pia[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arno Penzias kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.