Bjørnstjerne Bjørnson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bjørnstjerne Bjørnson

Bjørnstjerne Martinius Bjørnson (8 Desemba 183226 Aprili 1910) alikuwa mwandishi, mshairi na mhariri kutoka nchi ya Norwei. Katika Norwei ya karne ya 19, Bjørnson alikuwa mwandishi mkuu wa pili baada ya Henrik Ibsen. Mwaka wa 1903 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bjørnstjerne Bjørnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.