16 Aprili
Mandhari
(Elekezwa kutoka Aprili 16)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 16 Aprili ni siku ya 106 ya mwaka (ya 107 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 259.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1844 - Anatole France, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1921
- 1863 - Émile Friant, mchoraji kutoka Ufaransa
- 1889 - Charlie Chaplin, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
- 1889 - Ludwig Wittgenstein, mwanafalsafa kutoka Austria
- 1927 - Papa Benedikto XVI, Papa wa Kanisa Katoliki na mwanateolojia kutoka Ujerumani
- 1971 - Selena, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1972 - Tracy K. Smith, mshairi kutoka Marekani
- 1977 - Alek Wek, mwanamitindo kutoka Sudan
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1783 - Mtakatifu Benedikto Yosefu Labre, mtubu kutoka Ufaransa
- 1879 - Mtakatifu Bernadeta Soubirous, mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa
- 1968 - Edna Ferber, mwandishi kutoka Marekani
- 1972 - Yasunari Kawabata, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1968
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Leonida, Karisa na wenzao, Optati, Luperki na wenzao, Engrasya, Kayo na Kremensi, Turibi wa Astorga, Frutuoso wa Braga, Magnus wa Orkney, Drogo, Kontardo wa Este, Benedikto Yosefu Labre, Bernadeta Soubirous n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |