13 Januari
Mandhari
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 13 Januari ni siku ya kumi na tatu ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 352 (353 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1864 - Wilhelm Wien, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1911
- 1901 - Alfred Bertram Guthrie, mwandishi kutoka Marekani
- 1919 - Ali Muhsin al-Barwani, mwanasiasa kutoka Zanzibar (Tanzania)
- 1927 - Sydney Brenner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2002
- 1957 - Claudia Emerson, mshairi kutoka Marekani
- 1960 - Eric Betzig, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2014
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1885 - Schuyler Colfax, Kaimu Rais wa Marekani (1869-1873)
- 1941 - James Joyce, mwandishi kutoka Ueire
- 1978 - Hubert Humphrey, Kaimu Rais wa Marekani
- 2004 - Harold Shipman, daktari na muuaji mfululizo kutoka Uingereza, anajiua gerezani
- 2009 - W. D. Snodgrass, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Hilari wa Poitiers, Ermili na Stratoni, Agrisi wa Trier, Remiji wa Reims, Kentigerno, Petro wa Kapitolias, Gumesindi na Servidi, Godfredo wa Cappenberg, Iveta, Dominiko Pham Thong, Luka Thin Viet Pham, Yosefu Pham Thong Ta n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 13 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |